Mchora katuni maarufu nchini Tanzania Masoud Kipanya amezindua gari lake alilolitengeneza mwenyewe kupitia kampuni yake iliyopo nchini Tanzania. Licha ya watu kutomuamini kama yeye ndiye ...