Mkuu wa Majeshi ya Libya anayehusishwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa, Luteni Jenerali Mohammed Al-Haddad, alifariki Jumanne, Desemba 23, 2025, pamoja na watu wanne waliokuwa wakisafiri naye. Ajali ...
Tukio hilo "halikutokana na mapigano ya uadui au ya kirafiki", Kamandi Kuu ya Marekani inasema Na Asha Juma Chanzo cha picha, Tom Williams via Getty Images Wabunge wa Marekani waanza kuzungumzia ajali ...
Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 76 iligonga gari la zimamoto wakati ilipokuwa ikitua kwenye uwanja huo. Kwasasa uwanja huo umefungwa kwa muda kutokana na tukio hilo. Kulingana na shirika la habari la ...
Watu sita, ikiwa ni pamoja na afisa mmoja wa jeshi la DRC, FARDC, mke wake, na mlinzi wake, wamefariki katika ajali ya ndege Jumamosi, Agosti 16, takriban kilomita 34 kutoka Kisangani, katika mkoa wa ...
Wanajeshi 20 waliokuwa kwenye ndege ya kijeshi ya Uturuki wamefariki dunia baada ya ndege hiyo kuanguka katika eneo la mpaka wa georgia na Azerbaijan hapo Jumanne. Wizara ya ulinzi ya Uturuki mapema ...
Wataalamu wanasema kukosekana kwa uadilifu, ukaguzi duni na sababu za hali ya hewa vinachangia ajali hizo na kuwaweka hatarani abiria wanaotegemea usafiri wa angani. Katika miezi ya hivi karibuni, ...
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!