Watu 14 waliokuwa kwenye ndege ya abiria, wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kuanguka nchini Sudan Kusini, baada ya ...
Mkuu wa Majeshi ya Libya anayehusishwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa, Luteni Jenerali Mohammed Al-Haddad, alifariki Jumanne, Desemba 23, 2025, pamoja na watu wanne waliokuwa wakisafiri naye. Ajali ...
Tukio hilo "halikutokana na mapigano ya uadui au ya kirafiki", Kamandi Kuu ya Marekani inasema Na Asha Juma Chanzo cha picha, Tom Williams via Getty Images Wabunge wa Marekani waanza kuzungumzia ajali ...
Wataalamu wanasema kukosekana kwa uadilifu, ukaguzi duni na sababu za hali ya hewa vinachangia ajali hizo na kuwaweka hatarani abiria wanaotegemea usafiri wa angani. Katika miezi ya hivi karibuni, ...
Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 76 iligonga gari la zimamoto wakati ilipokuwa ikitua kwenye uwanja huo. Kwasasa uwanja huo umefungwa kwa muda kutokana na tukio hilo. Kulingana na shirika la habari la ...
Wanajeshi 20 waliokuwa kwenye ndege ya kijeshi ya Uturuki wamefariki dunia baada ya ndege hiyo kuanguka katika eneo la mpaka wa georgia na Azerbaijan hapo Jumanne. Wizara ya ulinzi ya Uturuki mapema ...
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!